Makamu wa rais wa Marekani Kamala Harris amekuwa akikosolewa na maafisa kwa kutoa hotuba zinazopigia debe haki za wapenzi wa jinsia moja wakati wa ziara yake ya siku tatu katika bara la Afrika ...
Uamuzi wa kesi ya mwanamme mmoja nchini Malawi unatarajiwa kutolewa wiki hii, baada ya kuiambia BBC kuwa alifanya mapenzi na wasichana kama sehemu ya mila. Eric Aniva alikamatwa mwezi Julai kufuatia ...
Kwa mara ya pili serikali ya Kenya imepiga marufuku filamu inayoangazia masuala ya mapenzi ya jinsia moja iitwayo “I am Samuel”. Bodi ya filamu KFCB ilitangaza kuwa filamu hiyo haifai kutazamwa na ...
Best known for his work in the '70s with soul-jazz saxophonist Eddie Harris, guitarist Ronald Muldrow has been a fixture on the L.A. scene for some time, honing the funky edges of his Wes ...
Wamepanga sherehe kubwa, kupamba maduka na kufanya maonyesho ya droni kwa ajili ya mpenzi asiye halisi. Maelfu ya vijana wa kike China wanazama katika mapenzi ya mtandaoni kupitia mchezo wa simu wa ...
Wanaume sita wamekamatwa nchini Uganda kwa kujihusisha na 'mapenzi yajinsia moja', msemaji wa polisi ameliambia shirika la habari la AFP siku ya Ijumaa, siku moja baada ya Rais Yoweri Museveni ...
Mitandao ya kijamii siku hizi imeanza kutumiwa na watu wengi kuwatafuta wachumba. Je, ni muda upi unaostahili kuchukua kabla ya kukutana ana kwa ana na mchumba wa mtandaoni? Tumewashirikisha wananchi ...
Washauri wa masuala ya mapenzi watakweleza kwamba huwa ni kibarua kumtafuta mchumba na hasa mtu mtakayefaana maishani. Ili kumpata mpenzi ni lazima kwanza umtafute. Lakini je, ni mbinu zipi ambazo ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results