Marekani na China zimeachana na vita vyao vya kibiashara kwa kupunguza ushuru wa forodha kwa kiasi kikubwa. Rais wa Marekani Donald Trump pia alisema Mei 12 kwamba huenda akazungumza na Rais Xi ...
Asilimia 25 ya ushuru wa forodha uliowekwa na Marekani kwenye bidhaa kutoka Mexico na Canada umeaza kutekelezwa jana Jumanne. Wasiwasi unaongezeka kuhusiana na vita kamili ya kibiashara miongoni mwa ...